Chairman Mr Naweed akikitambulisha chama cha wafugaji wa kibiashara Tanzania Commercial Cattle Society kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Ndaki

Chairman Naweed Mulla akikitambulisha chama cha wafugaji wa kibiashara Tanzania Commercial Cattle Society kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Ndaki pale kwenye ofisi za TCCS Ubena Chalinze Mkoani Pwani.